top of page

Activités - Michakato

Le comité de Kiswahili Network en train de recevoir un terrain pour ses activés agricoles dans le banlieue de Montréal, QC, tout près de la frontière du Canada et USA, (Vermont).

Viungozi wa Kiswahili Network wakiwa na wazawa wa Quebec wakizawadiwa eneo la kilimo, inje ya jiji la Montreal, QC mpakani na Vermont Marekani

IMG-20250316-WA0089 (1).jpg

Kiswahili siyo tu njia ya mawasiliano bali  ni kielelezo cha utamaduni na huonesha utambulisho, maadili na dira ya dunia. Ni chombo ambacho kinawasilisha tofauti mbalimbali za tamaduni na mazungumzo ya ustaarabu. Ni daraja linalowezesha uhusiano wa karibu baina ya jamii na ni utajiri thabiti wa kujieleza na kubadilishana mitazamo mbalimbali pamoja na kumwezesha mtu

© 2024 Kiswahili Network Canada

bottom of page