top of page

Kiswahili siyo tu njia ya mawasiliano bali  ni kielelezo cha utamaduni na huonesha utambulisho, maadili na dira ya dunia. Ni chombo ambacho kinawasilisha tofauti mbalimbali za tamaduni na mazungumzo ya ustaarabu. Ni daraja linalowezesha uhusiano wa karibu baina ya jamii na ni utajiri thabiti wa kujieleza na kubadilishana mitazamo mbalimbali pamoja na kumwezesha mtu

© 2024 Kiswahili Network Canada

bottom of page